Posts

VIJANA KUPIGWA MSASA DIRA YA MAENDELEO 2050

  Timothy Marko  KATIKA Kukahakisha Vijana na Makundi Maalum wanakuwa na Uelewa wa Dira ya Maendeleo ya taifa 2050, Shirika la Umoja wa Mataifa linalojihusisha na Idadi ya Watu (UNFPA) limeaanzisha program Maalum ya kuwaelimisha kundi Hilo ,Juu ya Dira hiyo ya Masuala mbalimbali yanayo wakabili Vijana ikiwemo Ukosefu wa Ajira Nchini. "Ilikuhakikisha kundi hili Linapata Uelewa Juu ya malengo ya  Dira ya taifa 2050 ikiwemo kukuza Uelewa Sekta ya Tehama likuwahakikishia Vijana wanajikwamua kiuchumi kupitia Sekta ya Tehama" Amesema Naibu KATIBU Mtendaji wa Tume ya Mipango kitaifaDk Mursali Milanzi. Dk. Milanzi Ameongeza kuwa Katika kuhakikisha Wananchi wanakuza Uelewa wa Dira ya taifa 2050,Dira hii Utekelezaji wake utatekelezwa kwa Awamu. Alisisitiza Katika kuhakikisha Dira hiyo inatekezeka Tume hiyo imejiwekea Mipango ya muda mrefu na muda mfupi ilikuweza kuhakikisha Dira hiyo inatekezeka. "Mpango wa Utekelezaji wa Dira hii utakuwa tayari November Mwaka huu,nautekelezwaji w...

JAJI MUTUNGI AVIONYA VYAMA VYA SIASA.

Image
Timothy Marko. MSAJILI wa Vyama vya Siasa Nchini Tanzania Jaji Francis Mutungi Amewataka WenyeViti wa Vyama vya Siasa  Kuzingatia Sheria za Gharama za Uchaguzi. Akizungumza naWaandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam Jaji Francis Mutungi amesema kuwa Nivyema WenyeViti wa Vyama pamoja na Wagombea wa Vyama hivyo kuweza kufanya Kampeni za kistarabu na Kujiepusha na Lugha za Matusi kipindi cha Kampeni za Uchaguzi. "Amani na Umoja wa kitaifa iwe kipaumbele kwenu,Twendeni tukawe mabalozi wa Amani" Amesema Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Jaji Francis Mutungi. Mutungi  Ameongeza kuwa Nivyema Wenyeviti  wa Vyama vya Siasa kukuza Uelewa kwa Wagombea ilikuweza kushiki Vizuri Katika Uchaguzi Mkuu. Amesisitiza kuwa Nivyema WenyeViti wa Vyama hivyo Kujiepusha na Lugha za Matusi nakuweza kufanya Kampeni za kistarabu. Naye Mkuu wa Sehemu ya Ruzuku wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini CPA Edmund Mgasha Amewataka WenyeViti wa Vyama vya Siasa kuweka Ushaidi wa Matumizi ya Vyama vy...
Image
 

DOROTHY SEMU AJITOA MBIO ZA URAIS ACT WAZALENDO, MPINA AINGIA KWA KISHINDO

Image
  Na Timothy Marko, Dm News - MWENYEKITI wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ametangaza rasmi kujiondoa katika kinyang’anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa niaba ya chama hicho, akisema hatua hiyo inalenga kulinda umoja na maslahi mapana ya chama. Akizungumza mbele ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema, Makao Makuu ya ACT Wazalendo, Dorothy Sembu amesema kuwa amejiondoa kwenye kinyang'anyiro cha Kuwania kiti cha Urais kupitia Chama hicho kwa maslahi ya Chama cha ACT Wazalendo na Umma wa Tanzania kwaujumla. “Kwa kutambua fursa na maslahi mapana ya chama chetu, nimeamua kuondoa fomu yangu kama Mgombea Urais, na kuacha fursa hii kwa mwanachama ambaye chama kitaona anafaa kwa wakati huu.”Amesema Mwenyekiti wa Chama cha ACT -Wazalendo Dorothy Sembu. Uamuzi huo umekuja siku moja baada ya aliyekuwa Mbunge wa CCM, Luhaga Mpina, kujiunga rasmi na ACT Wazalendo. Mpina alipokewa na viongozi waandamizi wa...

TUNZO ZA UTALII KUFANYJ

 TUNZO ZA UTALII KUFANYIKA JOHARI ROTANA JUNI 28. Timothy Marko  BODI ya Utalii imesema inatarajia kuwa mwenyeji wa Tunzo za Afrika Mashariki za Utalii  katika Hoteli ya Johari Rotana yajiijini Dar es Salaam June 28 Mwaka huu. Akizungumza naWaandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam Mkurugezi wa Bodi ya Utalii Nchini Ephraim Mafuru amesema Tunzo hizo zitahusisha Nchi za Asia na Afrika, Ambapo Mazao ya Utalii yataoneshwa. "Tunzo hizi zinahusisha Sekta Binafsi38 nasekta 12 kutoka Sekta ya Umma."Alisema Mkurugezi wa Bodi ya Utalii Ephraim Mafuru. Mafuru Aliongeza kuwa Tunzo hizo zinatarajiwa kuhudhuriwa na Washiriki 500 wandani nanje . Aidha, Mkurugezi wa Hoteli ya Johari Rotana yajiijini Dar es Salaam Ahmed Said amesema kuwa Tunzo hizo ni heshima kubwa kwa Tanzania katika kutangaza vivutio vya Utalii vilivyopo Nchini ikiwemo Hoteli ya Johari Rotana. Alisema Sekta ya Utalii nikikichocheo kizuri cha Uchumi WETU, kupitia Sekta hiyo Nchi yetu inajitangaza kupitia Utalii wa Mikuta...

Adebayo Akinfenwa: Sergio Ramos ana bahati hatutakutana uwanjani

Image
\MTADAO  WA BBC Mshambuliaji wa klabu ya Uingereza ya Wycombe Wanderers Adebayo Akinfenwa ametoa onyo kali kwa nahodha wa Real Madrid Sergio Ramos. Ramos amekuwa akishutubiwa baada ya nyota wa Liverpool na Misri Mohamed Salah kuumia begani walipokabiliana wakati wa fainali ya Kombe la Klabu Bingwa Ulaya. Ramos pia aligongana na kipa wa Liverpool Loris Karius na inadaiwa kwamba huenda tukio hilo lilimduwaza kwa kumsababishia mtikisiko wa ubongo jambo ambalo pengine lilichangia makosa ya kushangaza aliyoyafanya kipa huyo. Makosa yake mawili yalichangia mabao mawili ya Real Madrid ambao walishinda mechi hizo 3-1. Sergio Ramos afunguka kuhusu kuumia kwa Mo Salah Akinfenwa ameandika kwenye Twitter kwamba daima atakuwepo kuwasaidia na kuwaunga mkono Liverpool wakitishiwa. Amepakia video kwenye mtandao huo wa kijamii akionesha nguvu zake kwa kuvuta buti kwa kutumia mikono yake mwenyewe. Klabu yake inatokea High Wycombe eneo la Buckinghamshire, England na inachez...

Kenya yawakamata wavuvi 109 wa Tanzania

Image
   MTANDAO WA BBC Jeshi la wanamaji wa Kenya liliwakamata raia 109 wa Tanzania kwa kushiriki katika uvuvi haramu katika himaya ya maji ya Kenya katika bahari hindi. Wavuvi hao walikamatwa katika eneo la Shimoni , linalomiliki bandari kusini mashariki mwa Kenya karibu na mpaka na taifa la Tanzania na kuwasilishwa mbele ya mahakama ya kaunti ya Kwale siku ya Jumatatu. Wavuvi hao walizuiliwa baada ya kushindwa kulipa dhamana ya shilingi 20,000 za Kenya kila mmoja wao lilisema gazeti la Biashara nchini Kenya Business Daily , likimnukuu naibu wa kamishna wa Lungalunga Josphat Biwott. Hatahivyo serikali ya Tanzania tayari imeanza harakati za kuhakikisha kuwa raia hao wanaachiliwa huru. Naibu waziri wa uvuvi na ufugaji nchini Tanzania Abdalla Ulega ameliambia gazeti la The Citizen nchini humo kwamba juhudi zimeanza ili kuona kuwa tatizo hilo limetatuliwa. ''Tayari tumezungumza na wizara ya maswala ya kigeni na jeshi la polisi ili kuona vile tatizo hilo lit...